Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
25 - 36 ya 70 matangazo
Higher price first
Panga
Chumba master kinapangishwa
NYUMBA NI MPYA YA KISASA KODI MIEZI 6 KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 500 ========= SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA TILLES & GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKO MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA MAZINGIRA MAZUR NA TULIVU SERVIC CHAJ ELFU 10
Kimara Korogwe, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment kali mno
-DK 6 KWA MGUU TOKA LAMI -CHUMBA KIKUBWA -MASTER -SEBULE KUBWA -NA JIKO -NDANI YA FENSI -PARKING KUBWA -Kodi x6 KUONA 15,000
Kimara Temboni, Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba kubwa inapangishwa
-Ina vyumba 4, sebule na choo -Maji na umeme vipo -Ipo ndani ya fensi Kodi miezi 4
Chamazi Mfenesini, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba stand alone inapangishwa
Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko sebule dining Public toilet stoo Pia nje ina mabanda takufugia chochote upendacho Full parking Full electronics fence Service churge 20k Kimbia na pesa mkononi usilete kwaya site boss wangu.
Majohe Rada, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment nzuri inapangishwa
-UKISHUKA DK 7 MGUU -SEBULE KUBWA -UMEME NA MAJI YAKO -NDANI YA FENSI -GARDEN -PARKING KUBWA SANA -SECURITY Kodi miezi 6 KUONA ELF 15 UKILIPIA MWZ 1 DALALI
Mbezi Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Master na sebule inapangishwa
-Ina jiko -Kodi miezi 4 -Umbali kutoka kituoni 1.5km -Umeme unajitegemea -Maji bill ndani ya fence -Parking kubwa yenye paving blocks SERVICES CHURGE 15K MALIPO YA DALALI 200K UKILIPIA CALL π
Mbezi Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment kali inapangishwa
-UKISHUKA DK 7 KWA MIGUU -CHUMBA KUBWAA MASTER -SEBULE KUBWA -UMEME NA MAJI YAKO -NDANI YA FENSI -GARDEN -PARKING KUBWA SANA -KODI MIEZI 6 KUONA ELF 15 UKILIPIA MWZ 1 DALALI
Mbezi Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment nzuri ya kibachela inapangishwa
#SEBULE KUBWA #CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA #CHOO CHA PUBLIC CHA KWAKE NDANI KWA NDANI #LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE #MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24 βΌοΈHAKUNA JIKO #PAVING #CAR PARKING HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 KWA MIGUU MALIPO YA MIEZI 6
Kimara Temboni, Ubungo, Dar es Salaam
Master sebule inapangishwa
-Ina jiko -Kodi miezi minne DISTANCE KM 1.5 kutoka stendi UMEME INAJITEGEMEA MAJI BILL NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL PERVING BLOCKS SERVICES CHURGE 15K MALIPO YA DALALI 200K UKILIPIA
Mbezi Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment nzuri inapangishwa
# CHUMBA MASTER # SEBULE KUBWA # UMEME UNAJITEGEMEA # MAJI NI YA KUSHEA BILI NA YANATOKA NDANI BEI NI 160X3 ILIPWE LAKI MMOJA NA SITINI KODI YA MIEZI MITATU KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15 UKIIPENDA NYUMBA UTAMRIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA KUTOKA MOROGORO ROOD KM 1 UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNAPINGA TEKE...
Mbezi Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba inapangishwa
2.5km kutoka stendi. Boda 1000 BAJAJI 700 ββββββββ SIFA ZA NYUMBA βοΈVYUMBA VIWILI VYA KULALA PABILIKI TOILET YA NDANI βοΈSEBULE NA JIKO βοΈ NDANI YA FENCE KASOLO GETI USALAMA WAKUTOSHA βββββββββ HUDUMA π₯UMEME π₯MAJI DAWASCO MNASHEA BILI βββββββββ KUPELEKWA SITE ELF 15 UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KO...
Mbezi Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba na sebule kinapangishwa
HIZI APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI #SEBULE KUBWA #MASTER KUBWA #KIBALAZA CHAKO #HAKUNA JIKO HAZINA FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA PARKING KUBWA #LUKU SUBMITER MATUMIZI YAKO #MAJI DAWASA NDANI DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA MLANGONI MALIPO MIEZI 4,...
Kimara Bucha, Ubungo, Dar es Salaam









