Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
1 - 5 ya 5 matangazo
Newly listed
Panga
Mradi wa viwanja
MRADI UPO KARIBU NA SHULE YA MSINGI JUHUDI. ✍️ BEI ZA VIWANJA NI KAMA IFUATAVYO: • 20*20 NI TSH 2.5M • 17*17 NI TSH 2M • 14*20 TSH 1.5M • 10*20 TSH 1M ========== ✅ UNAWEZA KULIPA CASH AU KWA AWAMU. ✅ PIKIPIKI BUKU TU HADI SITE ========== HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA.
Visiga Madafu, Kibaha, Pwani
Boma linauzwa
📍 LINAVYUMBA VITATU KIMOJA MASTER, PUBLIC TOILET, SEBULE. GARI INAFIKA HADI SITE ✅. ENEO LAKE FUTI 50 KWA 40✅. UKISHUKA STENDI UNATEMBEA TU DAKIKA 5 UPO SITE🔥. BEI YA JIONI KABISA MTEJA SERIOUSLY UNAYEJUWA THAMANI YA ARDHI CHANGAMKIA OFA HII KABLA MWENYEWE HAJABADILI MAAMUZI.
Kisemvule Nyumba Nyeupe, Mkuranga, Pwani
Shamba linauzwa
-LA EKA 10 -SHAMBA HILI LIPO KILOMETA 4 KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI YA MSATA BAGAMOYO
Kiwangwa, Bago, Bagamoyo, Pwani
Nyumba ya kumalizia tu inauzwa
✍️ INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA ✍️ SEBULE ✍️ JIKO ✍️ CHOO ✍️ TOFALI 100 ========== • IPO KARIBU NA STAND UNATEMBEA DK 5 TU • IPO KWENYE MTAA ULOCHANGAMKA SANA. ❌ ENEO LAKE SIO KUBWA KUBWA SANA.
Kwa Mathias, Kibaha, Pwani
Nyumba stand alone inapangishwa
• Vyumba 3 vya kulala kimoja master • Sebule Kubwa • Dinning Room • Jiko kubwa • Public toilet • Ipo ndani ya fence parking ya kutosha • Nyumba ni mpya kabisa. ========== ✍️ Kodi miezi 6 ✍️ Umbali 1.5km kutoka stand boda buku tu
Kiluvya Gogoni, Kisarawe, Pwani
- 1