xThanks! That's very helpful

Boma linauzwa

Tanzania, Pwani, Mkuranga, Kisemvule Nyumba Nyeupe
Taarifa za mwisho miezi 3 iliyopita
ID #90
1 - 2 ya 3
TSh 10,000,000
Boma linauzwa
Tanzania, Pwani, Mkuranga, Kisemvule Nyumba Nyeupe,
Imeboreshwa miezi 3 iliyopita

Maelezo

πŸ“ LINAVYUMBA VITATU KIMOJA MASTER, PUBLIC TOILET, SEBULE.
GARI INAFIKA HADI SITE βœ….
ENEO LAKE FUTI 50 KWA 40βœ….
UKISHUKA STENDI UNATEMBEA TU DAKIKA 5 UPO SITEπŸ”₯.

BEI YA JIONI KABISA

MTEJA SERIOUSLY UNAYEJUWA THAMANI YA ARDHI CHANGAMKIA OFA HII KABLA MWENYEWE HAJABADILI MAAMUZI.

Taarifa za ziada

Nyaraka: Mkataba wa mauziano

 

Wasiliana na mtangazaji

    Seller's picture
    Moudy Mtanzania
    Mtumiaji asie na akaunti

    Maoni

    Una swali? Unahitaji taarifa za ziada? Toa maoni yako...
    Uliza maswali yanayohusiana na tangazo hili tu.
    Maoni yanapitiwa.
    Weka maoni mapya
    TSh 10,000,000
    Wasiliana na mtangazaji 062813xxxx

    Taarifa za mtangazaji

    Seller's picture
    Moudy Mtanzania
    Mtumiaji asie na akaunti

    Eneo la tangazo

    Tanzania, Pwani, Mkuranga, Kisemvule Nyumba Nyeupe
    TAHADHARI!!! Puuzia dili zinazoonekana ni rahisi sana kuwa kweli. Usikutane na dalali/mmiliki peke yako. Usilipie kitu kabla ya kukikagua na kuridhika.