Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
1 - 12 ya 38 matangazo
Newly listed
Panga
premium
Palm Rose Hotel
-Vyumba vina A/C -WiFi ya bure. -Parking ipo. -Kuna restaurant na bar -Vyunba vina TV na Fridge -Baadhi ya vyumba vina kibaraza
Mbezi Beach - Goig, Kinondoni, Dar es Salaam
premium
Florida Executive Inn
-Mita 650 tu kutoka soko la Kariakoo. -Vyumba vina choo na bafu ndani. -Kuna WiFi ya bure. -Parking ipo. -Kuna mgahawa. -Vyumba vina Tv na baadhi vina sehemu ya kukaa. -Huduma masaa 24.
Kariakoo - Congo/Omari, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba kubwa inapangishwa
INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI Kodi X 6 #VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER #SEBULE KUBWA #DINING #JIKO KUBWA LA KISASA #STORE #PUBLIC TOILET #PARKING KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 1 UPO KWENYE NYUM...
Kimara Temboni, Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
Vyumba vitatu, kimoja masta. siting jiko Tailiz jipsam Umeme maji Parking ipo ya gari moja Unatembea tu had stend ☎️0715626743. Whatsp
Kivule Magole Kwa Mpemba, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba kubwa inauzwa
↪️↪️Nyumba ina umbali wa Mita mia 400 kutokea Barabara kuu ya Lami ↪️↪️Nyumba Ina Vyumba 4 vya kulala Kimoja ni Master Bedroom na vyumba vyote ni Full Air Condition pamoja na Wall Cabinets ↪️↪️Nyumba Ina Gorofa 1 ↪️↪️Nyumba Ina Sebule Mbili ya Chini na ya juu ↪️↪️Nyumba Ina Swimming Pool kubwa ambay...
Pugu Rd - Taliani, Ilala, Dar es Salaam
Apartment za kifamilia zinapangishwa
-UMBALI KUTOKA STENDI NI DK 8 KUTEMBEA KWA MGUU -ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI ==== VYUMBA VIWILI KIMOJA NI MASTER SEBULE KUBWA JIKO NA CHOO CHA PABLIC INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI ==== KODI MIEZI SITA KUONA NYUMBA 15000/= DALALI. 350,000/= PINDI ULIPIAPO NYUMBA
Mbezi Magufuli, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment nzuri inapangishwa
-2km kutoka main road -Usafiri wa uhakika bajaji 500, ukishuka dk2 umefika -Malipo miezi minne ========= INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA #SEBULE DAINING JIKO NA CHOO NDAN PUBLIC. Haina master INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE IPO LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN...
Makoka, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment inapangishwa
HIZI APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO NDIO INAPANGISHWA #SEBULE WASTANI #VYUMBA 2 VYA KULALA #CHUMBA KIMOJA MASTER #JIKO LENYE MAKABATI #PUBLIC TOILET #TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA #LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEME...
Kimara Korogwe, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment inapangishwa
-Umbali kutoka mwendokasi 1.5km -Usafiri wa uhakika upo. Boda 1,000 na daladala 500. Ukishuka tu unapoga teke geti -Vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko lenye makabati na public toilet nzuri ndani HAKUNA MASTER -Tiles, gypsum, madirisha ya aluminium -Ipo ndani ya fence na parking ipo UMEME LUKU YA...
Kimara Korogwe, Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Ina vyumba vinne kimoja ni master. -Ina sebule, jiko, dinning na choo cha public. -Pia ina frem 1
Mbagala Chamanzi, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Ina vyumba viwili, sebule kubwa, jiko, public toilet na master bedroom. -Uwanja mkubwa mbele MAONGEZI YAPO
Tabata Segerea, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Ina vyumba 4 -chumba kimoja masta -sebule, jiko, sehem ya kulia chakula, choo public -Ina frem 1
Kivule, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
Hii njoo tumalize boss. Ipo jirani na kiwanda cha lakairo mita 600 toka lami kuu Ina vyumba viwilo na seble Eneo 20 kwa 15 Umeme upo, choo kipo.
Kisesa Isangijo, Magu, Mwanza
Nyumba inauzwa
-Ina vyumba viwili -Chumba kimoja master -Ina sebule na jiko -Choo cha public kipo
Chanika Mwisho, Ilala, Dar es Salaam