Nyumba kubwa inauzwa

Tanzania, Dar es Salaam, Ilala, Pugu Rd - Taliani
Limechapishwa miezi 2 iliyopita
ID #116
1 - 2 ya 4
TSh 280,000,000
Nyumba kubwa inauzwa
Tanzania, Dar es Salaam, Ilala, Pugu Rd - Taliani,
Limechapishwa miezi 2 iliyopita

Maelezo

↪️↪️Nyumba ina umbali wa Mita mia 400 kutokea Barabara kuu ya Lami
↪️↪️Nyumba Ina Vyumba 4 vya kulala Kimoja ni Master Bedroom na vyumba vyote ni Full Air Condition pamoja na Wall Cabinets
↪️↪️Nyumba Ina Gorofa 1
↪️↪️Nyumba Ina Sebule Mbili ya Chini na ya juu
↪️↪️Nyumba Ina Swimming Pool kubwa ambayo ni 10 by 5 Vipimo
↪️↪️Nyumba Ina Mabafu 4 na vyoo 4
↪️↪️Nyumba Ina Servant Kota yenye Chumba Cha kufulia nguo pamoja na Home Office na Choo na Bafu vya nnje na pia Ina Chumba Cha kuhifadhi mashine ya Swimming pool
↪️↪️Nyumba Ina Electric Fence pamoja na Kibanda Cha Mlinzi Getini
↪️↪️Nyumba Ina Telecommunication Yani Simu za kuwasiliana ndani ya Nyumba katika Kila mahali
↪️↪️Nyumba Ina jiko la ndani lenye Stoo yake pamoja na Dining room
↪️↪️Square Meter za kiwanja chote ni 1000

MAZUNGUMZO YAPO USIOGOPE BEI 🤝

Taarifa za ziada

Nyaraka: Hati

 

Wasiliana na mtangazaji

    Seller's picture
    Msamalia
    Mtumiaji asie na akaunti

    Maoni

    Una swali? Unahitaji taarifa za ziada? Toa maoni yako...
    Uliza maswali yanayohusiana na tangazo hili tu.
    Maoni yanapitiwa.
    Weka maoni mapya
    TSh 280,000,000
    Wasiliana na mtangazaji 077989xxxx

    Taarifa za mtangazaji

    Seller's picture
    Msamalia
    Mtumiaji asie na akaunti

    Eneo la tangazo

    Tanzania, Dar es Salaam, Ilala, Pugu Rd - Taliani
    TAHADHARI!!! Puuzia dili zinazoonekana ni rahisi sana kuwa kweli. Usikutane na dalali/mmiliki peke yako. Usilipie kitu kabla ya kukikagua na kuridhika.