-Umbali kutoka mwendokasi 1.5km
-Usafiri wa uhakika upo. Boda 1,000 na daladala 500. Ukishuka tu unapoga teke geti
-Vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko lenye makabati na public toilet nzuri ndani
HAKUNA MASTER
-Tiles, gypsum, madirisha ya aluminium
-Ipo ndani ya fence na parking ipo
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
NB:
ITAKUWA WAZI TAREHE 30.07 2025 KUJA KUONA NI RUKSA IWAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
ITAKAYOKUA WAZI NI YA JUU
SERVICE CHARGE NI TZS 15K
Apartment inapangishwa
Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Kimara Korogwe
Limechapishwa miezi 3 iliyopita
ID #93
TSh 320,000
Apartment inapangishwa
Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Kimara Korogwe,
Limechapishwa miezi 3 iliyopita










Maoni