Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
1 - 12 ya 56 matangazo
Newly listed
Panga
Nyumba kubwa inapangishwa
INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI Kodi X 6 #VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER #SEBULE KUBWA #DINING #JIKO KUBWA LA KISASA #STORE #PUBLIC TOILET #PARKING KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 1 UPO KWENYE NYUM...
Kimara Temboni, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba master kinapangishwa
-Kodi miezi 3 -Chumba kikubwa ndani ya fensi -umeme na maji unajitegemea
Gongo La Mboto Kwa Kaisi, Ilala, Dar es Salaam
Chumba Master na sebule kinapangishwa
-Ina jiko -Inajitegemea maji na umeme -Ipo ndani ya fensi
Pugu Kinyamwezi, Ilala, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
Chumba kimoja kikubwa sana na Choo na bafu nje chako mwenyew e Kodi miezi 6 maji dawsa yanaflow chooni pia Kuna reserve Tank juu safi juu feni safi Umbali KM 1.5 Usafiri bodaboda 1000 bajaji 500 Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba master kinapangishwa
NYUMBA NI MPYA YA KISASA KODI MIEZI 6 KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 500 ========= SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA TILLES & GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKO MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA MAZINGIRA MAZUR NA TULIVU SERVIC CHAJ ELFU 10
Kimara Korogwe, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment inapangishwa
-CHUMBA KIKUBWA SEBURE KUBWA SAFI NA CHOO NDANI -KODI MIEZI MITATU ==== Umem UNAJITEGEMEA ,MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI ==== Umbali KUTOKA KITUONI NI DKK 15 KUTEMBEA KWAMIGUUU AU BODA 1000 ==== Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena ===
Mbezi Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba na sebule inapangishwa
CHOO CHAKO UMEME WAKO Umbali: 1km kutoka barabara kuu ๐ฐ Kodi: TZS 100,000 kwa mwezi ๐ Chumba seble (choo) ๐ Sebule kubwa yenye nafasi ya kutosha โก Umeme wa luku yako ๐ง Maji yapo Yana floo ๐ช Mlango binafsi ๐งฑ Ipo ndani ya fensi salama ๐งผ Full tiles โ nyumba safi na nadhifu ๐๏ธ Kuona nyumba: TZS 10,000
Kimara Suka, Ubungo, Dar es Salaam
Master sebule inapangishwa
-Ina jiko -Kodi miezi minne DISTANCE KM 1.5 kutoka stendi UMEME INAJITEGEMEA MAJI BILL NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL PERVING BLOCKS SERVICES CHURGE 15K MALIPO YA DALALI 200K UKILIPIA
Mbezi Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment za kifamilia zinapangishwa
-UMBALI KUTOKA STENDI NI DK 8 KUTEMBEA KWA MGUU -ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI ==== VYUMBA VIWILI KIMOJA NI MASTER SEBULE KUBWA JIKO NA CHOO CHA PABLIC INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI ==== KODI MIEZI SITA KUONA NYUMBA 15000/= DALALI. 350,000/= PINDI ULIPIAPO NYUMBA
Mbezi Magufuli, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment inapangishwa
-KODI Miezi Minne -UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 3 HADI KWENYE NYUMBA _______ USAFIRI BAJAJI 1000 BODA BODA 1500 _______ SIFA YA NYUMBA CHUMBA MASTA JIKO _______ WAPANGAJI WAWILI TU KIMOJA KIPO WAZI _______ KUPELEKWA KUONA 15000 UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
Mbezi Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba master na sebule inapangishwa
-Kodi miezi mitatu -Maji na umeme unajitegemea -Ndani ya fance -Karibu na barabarani -Unaruhusiwa kutuma pesa ya udalali popote ulipo ili kuzuia chumba ila uwe na uhakika wakulipia chumba mapema isizidi siku 7 karibuni sana
Majohe Viwege Kwa Mpemba, Ilala, Dar es Salaam
Apartment nzuri ya kibachela inapangishwa
#SEBULE KUBWA #CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA #CHOO CHA PUBLIC CHA KWAKE NDANI KWA NDANI #LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE #MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24 โผ๏ธHAKUNA JIKO #PAVING #CAR PARKING HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 KWA MIGUU MALIPO YA MIEZI 6
Kimara Temboni, Ubungo, Dar es Salaam