HIZI APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#MASTER KUBWA
#KIBALAZA CHAKO
#HAKUNA JIKO
HAZINA FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA PARKING KUBWA
#LUKU SUBMITER MATUMIZI YAKO
#MAJI DAWASA NDANI
DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA MLANGONI
MALIPO MIEZI 4,5,6
Chumba na sebule kinapangishwa
Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Kimara Bucha
Limechapishwa miezi 3 iliyopita
ID #94
TSh 160,000
Chumba na sebule kinapangishwa
Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Kimara Bucha,
Limechapishwa miezi 3 iliyopita










Maoni