xThanks! That's very helpful

Chumba na sebule kinapangishwa

Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Kimara Bucha
Limechapishwa miezi 3 iliyopita
ID #94
1 - 2 ya 4
TSh 160,000
Chumba na sebule kinapangishwa
Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Kimara Bucha,
Limechapishwa miezi 3 iliyopita

Maelezo

HIZI APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI

#SEBULE KUBWA
#MASTER KUBWA
#KIBALAZA CHAKO
#HAKUNA JIKO

HAZINA FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA PARKING KUBWA

#LUKU SUBMITER MATUMIZI YAKO
#MAJI DAWASA NDANI

DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA MLANGONI

MALIPO MIEZI 4,5,6

Taarifa za ziada

 

Wasiliana na mtangazaji

    Seller's picture
    Dalali Lincoln
    Mtumiaji asie na akaunti

    Maoni

    Una swali? Unahitaji taarifa za ziada? Toa maoni yako...
    Uliza maswali yanayohusiana na tangazo hili tu.
    Maoni yanapitiwa.
    Weka maoni mapya
    TSh 160,000
    Wasiliana na mtangazaji 075579xxxx

    Taarifa za mtangazaji

    Seller's picture
    Dalali Lincoln
    Mtumiaji asie na akaunti

    Eneo la tangazo

    Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Kimara Bucha
    TAHADHARI!!! Puuzia dili zinazoonekana ni rahisi sana kuwa kweli. Usikutane na dalali/mmiliki peke yako. Usilipie kitu kabla ya kukikagua na kuridhika.