# CHUMBA MASTER
# SEBULE KUBWA
# UMEME UNAJITEGEMEA
# MAJI NI YA KUSHEA BILI NA YANATOKA NDANI
BEI NI 160X3 ILIPWE LAKI MMOJA NA SITINI KODI YA MIEZI MITATU
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15 UKIIPENDA NYUMBA UTAMRIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
KUTOKA MOROGORO ROOD KM 1
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNAPINGA TEKE LANGO
BAJAJI 700
BODA 1000
Apartment nzuri inapangishwa
Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Mbezi Kwa Msuguri
Limechapishwa miezi 3 iliyopita
ID #58
TSh 160,000
Apartment nzuri inapangishwa
Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Mbezi Kwa Msuguri,
Limechapishwa miezi 3 iliyopita
Maoni