Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
49 - 60 ya 70 matangazo
Newly listed
Panga
Apartment nzuri inapangishwa
# CHUMBA MASTER # SEBULE KUBWA # UMEME UNAJITEGEMEA # MAJI NI YA KUSHEA BILI NA YANATOKA NDANI BEI NI 160X3 ILIPWE LAKI MMOJA NA SITINI KODI YA MIEZI MITATU KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15 UKIIPENDA NYUMBA UTAMRIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA KUTOKA MOROGORO ROOD KM 1 UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNAPINGA TEKE...
Mbezi Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba stand alone inapangishwa
Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko sebule dining Public toilet stoo Pia nje ina mabanda takufugia chochote upendacho Full parking Full electronics fence Service churge 20k Kimbia na pesa mkononi usilete kwaya site boss wangu.
Majohe Rada, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
-kutoka lami dk 8 kwa mguu -service charge elfu 10 -kwa maelezo zaid tupigie 0697077600
Mbezi Malamba Mawili, Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
Ina vyumba 4 chumba kimoja master Sebule danng jiko choo umeme kisima Kiwanja kina ukubwa wa ft 60×60 karibu
Chamazi Mfenesini, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba kubwa inauzwa
-Ina vyumba 2 chumba kimoja master. -Sebule jiko choo umeme maji
Chamazi Mfenesini, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Vyumba vitatu, kimoja ni master -Ina sebule, jiko na choo cha public -UMEME MAJI VYOTE ALISHAVUTA -Finishing ya ndani tayari, bado nje UKUBWA WA KIWANJA MITA 15 KWA 13 KUPELEKWA KUONA elfu 30
Mbezi Kifuru, Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
INAUZWA KWA NIABA YA BANK -Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master -Sitting, Kitchen & Public Toilet -Ukubwa Wa Eneo: SQM 300 -Umbali: Meter 100 Tu Kutoka Barabara Ya Lami Gharama Za kwenda site Ni Tshs 30,000/=
Mbagala Kwa Mkwama, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba kubwa inapangishwa
-Ina vyumba 4, sebule na choo -Maji na umeme vipo -Ipo ndani ya fensi Kodi miezi 4
Chamazi Mfenesini, Temeke, Dar es Salaam
Apartment kali mno
-DK 6 KWA MGUU TOKA LAMI -CHUMBA KIKUBWA -MASTER -SEBULE KUBWA -NA JIKO -NDANI YA FENSI -PARKING KUBWA -Kodi x6 KUONA 15,000
Kimara Temboni, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment inapangishwa
ZIPO 2 TU KWENYE WNEO MOJA, KATI HIZO MOJA IPO WAZI #SEBULE WASTANI #CHUMBA MASTER #JIKO ZURI #LUKU INAJITEGEMEA #MAJI DAWASA NDANI #TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO #LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI #MALIPO MIEZI S...
Kimara Korogwe, Ubungo, Dar es Salaam
Cumba sebule inapangishwa
TEGETA KUNA CHUMBA SEBULE CHOO BEI LAKI1500000 KUNA ROOM2 ZA KULALA BEI LAKI3 TEGETA NIPIGIE.
Tegeta, Kinondoni, Dar es Salaam









