Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
49 - 60 ya 76 matangazo
Higher price first
Panga
Apartment inapangishwa
# CHUMBA MASTER NA # SEBULE # CHOO CHA NDANI # UMEME NA MAJI WAWILI # MAJI YA KUSHEA BILI 4 KODI YA MIEZI MINNE KUONA NYUMBA NI ELFU 15 UKIIPENDA NYUMBA UTAMRIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA KUTOKA MOROGORO ROOD KM 2 USAFIRI UPO BAJAJI 700 BODA 1000
Mbezi Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment inapangishwa
KILOMETA 1 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA BODA BODA BUKU TUU. CHUMBA MASTER SEBLE KUBWA SANA UMEME SUBMETER YAKE MAJI YANA FLOW CHOONI PUBLIC TOILET IPO NJEE FULL SECURITY 24HRS MAZINGILA MANZURI SANA SERVICE CHARGE 15,000/= Kodi miezi 6
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Master na sebule kali
Chumba master, sebule, public toilet ya nje kushea watu 2 tu na bafu, reserve water tank, parking, fence. Service charge tsh 20000 Malipo ya dalali mwezi 1
Kinyerezi, Ilala, Dar es Salaam
Apartment inapangishwa
CHUMBA MASTER KUBWA SAFI SEBURE KUBWA JIKO KUBWA NYUMBA KALI SANA NA IPO SEHEMU TULIVU ==== Kodi kwa miezi mitatu mitatu ==== Umeme Luku yako UNAJITEGEMEAMETER YAKO ,MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI PIA KUNA RESERVE TANK JUU ==== Umbali KUTOKA KITUONI NI DKK 5 KUTEMBEA KWAMIGUUU NYUMBA IPO NDANI YA FESNI ...
Mbezi Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba Master na sebule kinapangishwa
Ni chumba master, sebule na jiko. -UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2 -UMEME UNAJITEGEMEA -MAJI YAPO DAWASA PIA KUNA RESERVE TANK NJE -VYUMBA VINA MAFENI -KODI Miezi 3
Mbezi Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba master na sebule
-Km1.5 tu kutoka barabara kuu ⚡ Umeme wawili | 💧 Maji Yana floor 📶 Hapo kwenye fence
Kimara Suka, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba Master na sebule kinapangishwa
-Ina jiko -Inajitegemea maji na umeme -Ipo ndani ya fensi
Pugu Kinyamwezi, Ilala, Dar es Salaam
Apartment nzuri inapangishwa
-Ina mast3r bedroom moja kubwa tu. -HAKUNA SEBULE -LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA -PARKING KUBWA -IPO NDANI YA FENSI YENYE USALAMA WA KUTOSHA ❌ANATAKIWA MPANGAJI MSELA TUU WA KIKE AU WA KIUME Kodi inalipwa kwa miezi 6 Umbali kutoka lami ni 1km KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI E...
Mbezi Kibanda Cha Mkaa, Ubungo, Dar es Salaam
Master ya kibabe inapangishwa
-KODI KUANZIA MIEZI 4 -UMBALI DAKIKA 10 KWA MIGUU, BODA1000 -MASTER KUBWA SANA NA KIBALAZA CHAKE UNAWEZA UKAFANYA SEHEMU YA KUPIKIA -UMEME NA MAJI SHEA WAWILI NA YANA FLOW NDANI -CHUMBA KIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA NA PEVING BLOCK KUPELEKWA KUONA CHUMBA SERVICE CHARGE 15,000 NAUKIPEN...
Kimara Stop Over, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment inapangishwa
-CHUMBA KIKUBWA SEBURE KUBWA SAFI NA CHOO NDANI -KODI MIEZI MITATU ==== Umem UNAJITEGEMEA ,MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI ==== Umbali KUTOKA KITUONI NI DKK 15 KUTEMBEA KWAMIGUUU AU BODA 1000 ==== Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena ===
Mbezi Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba master kinapangishwa
-Kina jiko kubwa -Kodi miezi 6 -1.2km kutoka lami -Ipo ndani ya fensi na parking ipo -UMEME UNAJITEGEMEA MAJI PIA YANA FLOW NDANI KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES 15.000 BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
Kimara Stop Over, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba master kinapangishwa
-CHUMBA MASTER NA JIKO MPYAAAA MPYAAA -INAPANGISHWA ZIPO 5 KWENYE COMPAUND MOJA -NDANI YA FENSI -USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ 500/= -INA TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW -UMEME UNAJITEGEMEA -MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000 BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DAL...
Mbezi Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam









