Master ya kibabe inapangishwa

Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Kimara Stop Over
Limechapishwa miezi 3 iliyopita
ID #97
TSh 120,000
Master ya kibabe inapangishwa
Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Kimara Stop Over,
Limechapishwa miezi 3 iliyopita

Maelezo

-KODI KUANZIA MIEZI 4
-UMBALI DAKIKA 10 KWA MIGUU, BODA1000
-MASTER KUBWA SANA NA KIBALAZA CHAKE UNAWEZA UKAFANYA SEHEMU YA KUPIKIA
-UMEME NA MAJI SHEA WAWILI NA YANA FLOW NDANI
-CHUMBA KIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA NA PEVING BLOCK

KUPELEKWA KUONA CHUMBA SERVICE CHARGE 15,000

NAUKIPENDA CHUMBA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI

Taarifa za ziada

 

Wasiliana na mtangazaji

    Seller's picture
    Dalali Lincoln
    Mtumiaji asie na akaunti

    Maoni

    Una swali? Unahitaji taarifa za ziada? Toa maoni yako...
    Uliza maswali yanayohusiana na tangazo hili tu.
    Maoni yanapitiwa.
    Weka maoni mapya
    TSh 120,000
    Wasiliana na mtangazaji 075579xxxx

    Taarifa za mtangazaji

    Seller's picture
    Dalali Lincoln
    Mtumiaji asie na akaunti

    Eneo la tangazo

    Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Kimara Stop Over
    TAHADHARI!!! Puuzia dili zinazoonekana ni rahisi sana kuwa kweli. Usikutane na dalali/mmiliki peke yako. Usilipie kitu kabla ya kukikagua na kuridhika.