Apartment nzuri inapangishwa

Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Mbezi Kibanda Cha Mkaa
Limechapishwa miezi 3 iliyopita
ID #42
TSh 120,000
Apartment nzuri inapangishwa
Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Mbezi Kibanda Cha Mkaa,
Limechapishwa miezi 3 iliyopita

Maelezo

-Ina mast3r bedroom moja kubwa tu.
-HAKUNA SEBULE
-LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
-PARKING KUBWA
-IPO NDANI YA FENSI YENYE USALAMA WA KUTOSHA

❌ANATAKIWA MPANGAJI MSELA TUU WA KIKE AU WA KIUME
Kodi inalipwa kwa miezi 6
Umbali kutoka lami ni 1km

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

#0710614924
#0688653940

Taarifa za ziada

 

Wasiliana na mtangazaji

    Seller's picture
    Daniel Lokamacheki
    Mtumiaji asie na akaunti

    Maoni

    Una swali? Unahitaji taarifa za ziada? Toa maoni yako...
    Uliza maswali yanayohusiana na tangazo hili tu.
    Maoni yanapitiwa.
    Weka maoni mapya
    TSh 120,000
    Wasiliana na mtangazaji 071061xxxx

    Taarifa za mtangazaji

    Seller's picture
    Daniel Lokamacheki
    Mtumiaji asie na akaunti

    Eneo la tangazo

    Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Mbezi Kibanda Cha Mkaa
    TAHADHARI!!! Puuzia dili zinazoonekana ni rahisi sana kuwa kweli. Usikutane na dalali/mmiliki peke yako. Usilipie kitu kabla ya kukikagua na kuridhika.