Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
25 - 36 ya 39 matangazo
Newly listed
Panga
Nafaulisha master
TILES GYPSAM SLIDE WINDOW MAJI YANAFLOW NDANI KODI MIEZI 4 OR 3
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba na sebule
SIO MASTA NI CHUMBA NA SEBULE TU KODI X5 WAPANGAJI WANNE UMEME MNASHARE TILES GYPSUM DIRISHA ZA KAWAIDA
Sabasaba Magengeni, Temeke, Dar es Salaam
Chumba master na sebule
-Km1.5 tu kutoka barabara kuu ⚡ Umeme wawili | 💧 Maji Yana floor 📶 Hapo kwenye fence
Kimara Suka, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment nzuri inapangishwa
# CHUMBA MASTER # SEBULE KUBWA # UMEME UNAJITEGEMEA # MAJI NI YA KUSHEA BILI NA YANATOKA NDANI BEI NI 160X3 ILIPWE LAKI MMOJA NA SITINI KODI YA MIEZI MITATU KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15 UKIIPENDA NYUMBA UTAMRIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA KUTOKA MOROGORO ROOD KM 1 UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNAPINGA TEKE...
Mbezi Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
-kutoka lami dk 8 kwa mguu -service charge elfu 10 -kwa maelezo zaid tupigie 0697077600
Mbezi Malamba Mawili, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment inapangishwa
ZIPO 2 TU KWENYE WNEO MOJA, KATI HIZO MOJA IPO WAZI #SEBULE WASTANI #CHUMBA MASTER #JIKO ZURI #LUKU INAJITEGEMEA #MAJI DAWASA NDANI #TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO #LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI #MALIPO MIEZI S...
Kimara Korogwe, Ubungo, Dar es Salaam
Cumba sebule inapangishwa
TEGETA KUNA CHUMBA SEBULE CHOO BEI LAKI1500000 KUNA ROOM2 ZA KULALA BEI LAKI3 TEGETA NIPIGIE.
Tegeta, Kinondoni, Dar es Salaam
Chumba na sebule inapangishwa
TABATA MAWENZI KUNA CHUMBA SEBULE JIKO CHOO......NIPIGIE
Tabata Mawenzi, Ilala, Dar es Salaam
Apartment nzuri inapangishwa
-Ina mast3r bedroom moja kubwa tu. -HAKUNA SEBULE -LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA -PARKING KUBWA -IPO NDANI YA FENSI YENYE USALAMA WA KUTOSHA ❌ANATAKIWA MPANGAJI MSELA TUU WA KIKE AU WA KIUME Kodi inalipwa kwa miezi 6 Umbali kutoka lami ni 1km KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI E...
Mbezi Kibanda Cha Mkaa, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba single kikubwa kinaoangishwa
-Kodi miezi 3 -Ndani ya fensi -Dilisha alluminium -Mazingira mazuri, location jirani na kota za jeshi
Gongo La Mboto, Temeke, Dar es Salaam









