Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
13 - 20 ya 20 matangazo
Higher price first
Panga
Nyumba inauzwa
-Vyumba vitatu, kimoja ni master -Ina sebule, jiko na choo cha public -UMEME MAJI VYOTE ALISHAVUTA -Finishing ya ndani tayari, bado nje UKUBWA WA KIWANJA MITA 15 KWA 13 KUPELEKWA KUONA elfu 30
Mbezi Kifuru, Ubungo, Dar es Salaam
Njoo uchukue hii
-Anza na milioni 5 tu tajiri. -Haina fensi. -Gari halifiki.
Mbagala Kongowe, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Ina vyumba viwili -Chumba kimoja master -Ina sebule na jiko -Choo cha public kipo
Chanika Mwisho, Ilala, Dar es Salaam
Boma linauzwa
π LINAVYUMBA VITATU KIMOJA MASTER, PUBLIC TOILET, SEBULE. GARI INAFIKA HADI SITE β
. ENEO LAKE FUTI 50 KWA 40β
. UKISHUKA STENDI UNATEMBEA TU DAKIKA 5 UPO SITEπ₯. BEI YA JIONI KABISA MTEJA SERIOUSLY UNAYEJUWA THAMANI YA ARDHI CHANGAMKIA OFA HII KABLA MWENYEWE HAJABADILI MAAMUZI.
Kisemvule Nyumba Nyeupe, Mkuranga, Pwani
Nyumba inauzwa
INAUZWA KWA NIABA YA BANK -Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master -Sitting, Kitchen & Public Toilet -Ukubwa Wa Eneo: SQM 300 -Umbali: Meter 100 Tu Kutoka Barabara Ya Lami Gharama Za kwenda site Ni Tshs 30,000/=
Mbagala Kwa Mkwama, Temeke, Dar es Salaam
Boma linauzwa
-Vyumba ni vitatu, kimoja self -Sebule -Eneo 25 kwa 20 -Shimo la choo tayari -Lipo ndani ya mji, jirani kutoka kisesa senta Njoo na Posho yetu tufanye biashara
Kisesa, Magu, Mwanza
Nyumba ya kumalizia tu inauzwa
βοΈ INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA βοΈ SEBULE βοΈ JIKO βοΈ CHOO βοΈ TOFALI 100 ========== β’ IPO KARIBU NA STAND UNATEMBEA DK 5 TU β’ IPO KWENYE MTAA ULOCHANGAMKA SANA. β ENEO LAKE SIO KUBWA KUBWA SANA.
Kwa Mathias, Kibaha, Pwani
Nyumba inauzwa
Hii njoo tumalize boss. Ipo jirani na kiwanda cha lakairo mita 600 toka lami kuu Ina vyumba viwilo na seble Eneo 20 kwa 15 Umeme upo, choo kipo.
Kisesa Isangijo, Magu, Mwanza