Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
25 - 36 ya 38 matangazo
Higher price first
Panga
premium
Palm Rose Hotel
-Vyumba vina A/C -WiFi ya bure. -Parking ipo. -Kuna restaurant na bar -Vyunba vina TV na Fridge -Baadhi ya vyumba vina kibaraza
Mbezi Beach - Goig, Kinondoni, Dar es Salaam
premium
Florida Executive Inn
-Mita 650 tu kutoka soko la Kariakoo. -Vyumba vina choo na bafu ndani. -Kuna WiFi ya bure. -Parking ipo. -Kuna mgahawa. -Vyumba vina Tv na baadhi vina sehemu ya kukaa. -Huduma masaa 24.
Kariakoo - Congo/Omari, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba kubwa inapangishwa
-Ina vyumba 4, sebule na choo -Maji na umeme vipo -Ipo ndani ya fensi Kodi miezi 4
Chamazi Mfenesini, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba stand alone inapangishwa
Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko sebule dining Public toilet stoo Pia nje ina mabanda takufugia chochote upendacho Full parking Full electronics fence Service churge 20k Kimbia na pesa mkononi usilete kwaya site boss wangu.
Majohe Rada, Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba inapangishwa
2.5km kutoka stendi. Boda 1000 BAJAJI 700 ➖➖➖➖➖➖➖➖ SIFA ZA NYUMBA ✔️VYUMBA VIWILI VYA KULALA PABILIKI TOILET YA NDANI ✔️SEBULE NA JIKO ✔️ NDANI YA FENCE KASOLO GETI USALAMA WAKUTOSHA ➖➖➖➖➖➖➖➖➖ HUDUMA 💥UMEME 💥MAJI DAWASCO MNASHEA BILI ➖➖➖➖➖➖➖➖➖ KUPELEKWA SITE ELF 15 UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KO...
Mbezi Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba vyumba vitatu inapangishwa
-Ina vyumba vitatu, kimoja ni master. -Ina sebule, jiko, public toilet, dining, stoo. -Vyumba vina makabati ya nguo. -Umeme unajitegemea. -Kodi ni miezi 6 -Service charge 20k
Majohe - Gongo La Mboto, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba inapangishwa
-Ina vyumba viwili kimoja master -Kodi inalipwa kwa miezi mitatu mitatu
Ukonga Mombasa, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba kitonga inapangishwa
-Ina vyumba vitatu -Kodi miezi mitatu -Ina sebule na jiko
Kwa Kaisi - G/Mboto, Ilala, Dar es Salaam
Chumba Master na sebule kinapangishwa
Ni chumba master, sebule na jiko. -UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2 -UMEME UNAJITEGEMEA -MAJI YAPO DAWASA PIA KUNA RESERVE TANK NJE -VYUMBA VINA MAFENI -KODI Miezi 3
Mbezi Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
premium
Palm Rose Hotel
-Vyumba vina A/C -WiFi ya bure. -Parking ipo. -Kuna restaurant na bar -Vyunba vina TV na Fridge -Baadhi ya vyumba vina kibaraza
Mbezi Beach - Goig, Kinondoni, Dar es Salaam
premium
Florida Executive Inn
-Mita 650 tu kutoka soko la Kariakoo. -Vyumba vina choo na bafu ndani. -Kuna WiFi ya bure. -Parking ipo. -Kuna mgahawa. -Vyumba vina Tv na baadhi vina sehemu ya kukaa. -Huduma masaa 24.
Kariakoo - Congo/Omari, Ilala, Dar es Salaam
City Style Hotel
-Tupo 15km tu kutoka mjini. -Vyumba vyetu ni selft contained. -Vyumba vina Tv na A/C. -Kuna heater za maji ya moto. -WiFi ya bure. -Huduma masaa 24
Shekilango - Sinza, Ubungo, Dar es Salaam
Kigala Hotel
-Vyumba vina A/C -Kuna restaurant na bar -Vyunba vina TV -Baadhi ya vyumba vina kibaraza
Buguruni Malapa, Ilala, Dar es Salaam
Jakicha Motel
-Vyumba vina A/C -WiFi ya bure. -Parking ipo. -Kuna restaurant yenye bar -Vyunba vina TV na Fridge -Baadhi ya vyumba vina kibaraza
Kitunda Relini, Ilala, Dar es Salaam









