Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
1 - 12 ya 13 matangazo
Newly listed
Panga
Nyumba inauzwa
Vyumba vitatu, kimoja masta. siting jiko Tailiz jipsam Umeme maji Parking ipo ya gari moja Unatembea tu had stend ☎️0715626743. Whatsp
Kivule Magole Kwa Mpemba, Ilala, Dar es Salaam
Chumba master kinapangishwa
-Kodi miezi 3 -Chumba kikubwa ndani ya fensi -umeme na maji unajitegemea
Gongo La Mboto Kwa Kaisi, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba kubwa inauzwa
↪️↪️Nyumba ina umbali wa Mita mia 400 kutokea Barabara kuu ya Lami ↪️↪️Nyumba Ina Vyumba 4 vya kulala Kimoja ni Master Bedroom na vyumba vyote ni Full Air Condition pamoja na Wall Cabinets ↪️↪️Nyumba Ina Gorofa 1 ↪️↪️Nyumba Ina Sebule Mbili ya Chini na ya juu ↪️↪️Nyumba Ina Swimming Pool kubwa ambay...
Pugu Rd - Taliani, Ilala, Dar es Salaam
Chumba Master na sebule kinapangishwa
-Ina jiko -Inajitegemea maji na umeme -Ipo ndani ya fensi
Pugu Kinyamwezi, Ilala, Dar es Salaam
Chumba master na sebule inapangishwa
-Kodi miezi mitatu -Maji na umeme unajitegemea -Ndani ya fance -Karibu na barabarani -Unaruhusiwa kutuma pesa ya udalali popote ulipo ili kuzuia chumba ila uwe na uhakika wakulipia chumba mapema isizidi siku 7 karibuni sana
Majohe Viwege Kwa Mpemba, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Ina vyumba viwili, sebule kubwa, jiko, public toilet na master bedroom. -Uwanja mkubwa mbele MAONGEZI YAPO
Tabata Segerea, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Ina vyumba 4 -chumba kimoja masta -sebule, jiko, sehem ya kulia chakula, choo public -Ina frem 1
Kivule, Ilala, Dar es Salaam
Master na sebule kali
Chumba master, sebule, public toilet ya nje kushea watu 2 tu na bafu, reserve water tank, parking, fence. Service charge tsh 20000 Malipo ya dalali mwezi 1
Kinyerezi, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Ina vyumba viwili -Chumba kimoja master -Ina sebule na jiko -Choo cha public kipo
Chanika Mwisho, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba kitonga inapangishwa
-Ina vyumba vitatu -Kodi miezi mitatu -Ina sebule na jiko
Kwa Kaisi - G/Mboto, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba inapangishwa
-Kodi kuanzia miezi 6 -Ina vyumba 3 vya kulala chumba kimojawapo master -Sebule, jiko, public toilet -umeme na maji anajitegemea hapa kuna apartments 3 tu ndani ya fence, distance dakika 4 kutoka barabarani, parking, fence, peving block, reserve water tank, Service survey charge tsh 20000 Malipo ya ...
Tabata Kinyerezi, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba inapangishwa
-Ina vyumba viwili kimoja master -Kodi inalipwa kwa miezi mitatu mitatu
Ukonga Mombasa, Ilala, Dar es Salaam









