Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
1 - 12 ya 20 matangazo
Higher price first
Panga
Nyumba kubwa inauzwa
↪️↪️Nyumba ina umbali wa Mita mia 400 kutokea Barabara kuu ya Lami ↪️↪️Nyumba Ina Vyumba 4 vya kulala Kimoja ni Master Bedroom na vyumba vyote ni Full Air Condition pamoja na Wall Cabinets ↪️↪️Nyumba Ina Gorofa 1 ↪️↪️Nyumba Ina Sebule Mbili ya Chini na ya juu ↪️↪️Nyumba Ina Swimming Pool kubwa ambay...
Pugu Rd - Taliani, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Ina vyumba vinne kimoja ni master. -Ina sebule, jiko, dinning na choo cha public. -Pia ina frem 1
Mbagala Chamanzi, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Inauzwa kwa niaba ya bank -LOC : GOBA MTAA WA MUUNGANO ( KITUO CHA DALADALA MUHIMBILI) -ENEO :SQM 1,500 SIFA:- -3BEDROOMS , 2MASTER BEDROOM -SITTING ROOM -DINNING ROOM -KITCHEN -STORE -LIBRARY ROOM -PUBLIC TOILET GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 30. HII HAIHUSISHI USAFIRI NB : HAKUNA MTU NDANI U...
Mbezi Louis Goba Rd., Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba ya kisasa inauzwa
-Ipo 1km kutoka Main Road (CHAMAZ Road). -Nyumba ina vyumba 3, 1 Master -Sebule, Dinning, Public Toilet, store, jiko. nyumba Ina maji na umeme Mazungumzo yapo kidogo
Chamazi, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Ina vyumba 4 -chumba kimoja masta -sebule, jiko, sehem ya kulia chakula, choo public -Ina frem 1
Kivule, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
MAONGEZI YAPO! -INA VYUMBA 4 VYA KULALA -SEBULE KUBWA SANA -KIMOJA MASTER -PUBLIC TOILET -JIKO KUBWA -PIA INA MABANDA YA KUFUGIA -UKUBWA WA ENEO NI SQMT 500 -MAUZIANO SERIKALI YA MTAA -MAJI YAPO UMEME UPO -WATU WANAISHI NDANI -UMBALI TOKA GOBA ROAD NI KM 1.5 -BODA 1000 TU -KWENDA SAITY SERVICE CHARG...
Goba Mageti, Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Ina vyumba viwili, sebule kubwa, jiko, public toilet na master bedroom. -Uwanja mkubwa mbele MAONGEZI YAPO
Tabata Segerea, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
Ina vyumba vitatu, master bedroom, daining room, Jiko, public toilet Eneo SQM 500 Iko ndani ya fensi Mmiliki ni mmoja Gar inafika 0782944673
Mbagala Kingungi, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
Ina vyumba 4 chumba kimoja master Sebule danng jiko choo umeme kisima Kiwanja kina ukubwa wa ft 60×60 karibu
Chamazi Mfenesini, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba kubwa inauzwa
-Ina vyumba 2 chumba kimoja master. -Sebule jiko choo umeme maji
Chamazi Mfenesini, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
Vyumba vitatu, kimoja masta. siting jiko Tailiz jipsam Umeme maji Parking ipo ya gari moja Unatembea tu had stend ☎️0715626743. Whatsp
Kivule Magole Kwa Mpemba, Ilala, Dar es Salaam