Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
85 - 96 ya 104 matangazo
Lower price first
Panga
premium
Palm Rose Hotel
-Vyumba vina A/C -WiFi ya bure. -Parking ipo. -Kuna restaurant na bar -Vyunba vina TV na Fridge -Baadhi ya vyumba vina kibaraza
Mbezi Beach - Goig, Kinondoni, Dar es Salaam
premium
Florida Executive Inn
-Mita 650 tu kutoka soko la Kariakoo. -Vyumba vina choo na bafu ndani. -Kuna WiFi ya bure. -Parking ipo. -Kuna mgahawa. -Vyumba vina Tv na baadhi vina sehemu ya kukaa. -Huduma masaa 24.
Kariakoo - Congo/Omari, Ilala, Dar es Salaam
KIWANJA DODOMA IYUMBU
Kiwanja kinauzwa Iyumbu square meter 782 👉jiran na lamiiii 👉site feee 10000
Dodoma, Dodoma, Dodoma
KIWANJA DODOMA IYUMBU
IWANJA KINAUZWA LOCATION IYUMBU NORTH BLOCK J, PLOT NO..51 KINA UKUBWA SQM 446 KIWANJA NI CHA PILI (2) TOKA BARABARA YA LAMI
Dodoma, Dodoma, Dodoma
Kiwanja kinauzwa Mabwepande
1. ukubwa wa eneo 20×23 2. eneo limepimwa 3. umeme,maji na barabara vipo 4. eneo lipo tambalale note: eneo ni halali halina utaperi muhusika amejenga pembeni hapo hapo kwaio liko poa document zote zipo.
Mabwepande - Bunju, Kinondoni, Dar es Salaam
Njoo uchukue hii
-Anza na milioni 5 tu tajiri. -Haina fensi. -Gari halifiki.
Mbagala Kongowe, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Vyumba vitatu, kimoja ni master -Ina sebule, jiko na choo cha public -UMEME MAJI VYOTE ALISHAVUTA -Finishing ya ndani tayari, bado nje UKUBWA WA KIWANJA MITA 15 KWA 13 KUPELEKWA KUONA elfu 30
Mbezi Kifuru, Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
Vyumba vitatu, kimoja masta. siting jiko Tailiz jipsam Umeme maji Parking ipo ya gari moja Unatembea tu had stend ☎️0715626743. Whatsp
Kivule Magole Kwa Mpemba, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba kubwa inauzwa
-Ina vyumba 2 chumba kimoja master. -Sebule jiko choo umeme maji
Chamazi Mfenesini, Temeke, Dar es Salaam
Tunauza kiwanja
-Ukubwa 35 kwa 30 -Tambalale -Kupelekwa Kuona kiwanja galama 20 -Umbali kotoka lami dk 5
Kinyerezi Kifuru, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
Ina vyumba 4 chumba kimoja master Sebule danng jiko choo umeme kisima Kiwanja kina ukubwa wa ft 60×60 karibu
Chamazi Mfenesini, Temeke, Dar es Salaam
KIWANJA DODOMA IYUMBU
Kiwanja kinauzwa Iyumbu 💧 Ukubwa sqm 900 💧 Kiko nyuma ya ghorofa 💧 meter 100 mpka lamiii
Dodoma, Dodoma, Dodoma
Nyumba inauzwa
Ina vyumba vitatu, master bedroom, daining room, Jiko, public toilet Eneo SQM 500 Iko ndani ya fensi Mmiliki ni mmoja Gar inafika 0782944673
Mbagala Kingungi, Temeke, Dar es Salaam









