Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
61 - 72 ya 76 matangazo
Higher price first
Panga
Chumba na sebule
SIO MASTA NI CHUMBA NA SEBULE TU KODI X5 WAPANGAJI WANNE UMEME MNASHARE TILES GYPSUM DIRISHA ZA KAWAIDA
Sabasaba Magengeni, Temeke, Dar es Salaam
Nafaulisha master
TILES GYPSAM SLIDE WINDOW MAJI YANAFLOW NDANI KODI MIEZI 4 OR 3
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba master kinapangishwa
-Kina jiko -Luku na maji unajitegemea -Dakika 3 kwa miguu hadi stendi Service charge elf 10
Mbagala Mzambarauni, Temeke, Dar es Salaam
Apartment inapangishwa
-KODI Miezi Minne -UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 3 HADI KWENYE NYUMBA _______ USAFIRI BAJAJI 1000 BODA BODA 1500 _______ SIFA YA NYUMBA CHUMBA MASTA JIKO _______ WAPANGAJI WAWILI TU KIMOJA KIPO WAZI _______ KUPELEKWA KUONA 15000 UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
Mbezi Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba na sebule inapangishwa
CHOO CHAKO UMEME WAKO Umbali: 1km kutoka barabara kuu 💰 Kodi: TZS 100,000 kwa mwezi 🛏 Chumba seble (choo) 🛋 Sebule kubwa yenye nafasi ya kutosha ⚡ Umeme wa luku yako 💧 Maji yapo Yana floo 🚪 Mlango binafsi 🧱 Ipo ndani ya fensi salama 🧼 Full tiles – nyumba safi na nadhifu 👁️ Kuona nyumba: TZS 10,000
Kimara Suka, Ubungo, Dar es Salaam
Master ya kisasa inapangishwa
Umbali:1.3 Km Pikipiki Elf 1 BAJAJI 700/= ___________________ ✔️Chumba Kikubwa Master ✔️Tiles& Gypsum ✔️Nyumba ya kisasa ✔️Mazingira Mazuri . ✔️Feni Ya Juu ✔️Maji (yapo Dawasa) ✔️LUKU Yako 📌 MAZINGIRA TULIVU SSNA Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba master na sebule inapangishwa
-Kodi miezi mitatu -Maji na umeme unajitegemea -Ndani ya fance -Karibu na barabarani -Unaruhusiwa kutuma pesa ya udalali popote ulipo ili kuzuia chumba ila uwe na uhakika wakulipia chumba mapema isizidi siku 7 karibuni sana
Majohe Viwege Kwa Mpemba, Ilala, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
Umbali kutoka lami ni 1.5Km (Pikipiki 1000/=) ✔️Chumba Kikubwa ✔️Tiles ✔️Madirisha ya watu kwa muda ✔️Nyumba nzuri ✔️Choo Cha kwako kwa nje __________ HUDUMA ÷ ✔️Maji (Dawasa)Yapo ✔️Umeme #2 Tu 📌 Mazingira TULIVU sana ➖➖➖➖➖➖➖➖➖ KODI, 60,000/= X 3/4/5/6 Malipo ni Ya miezi 5/6 + Mwezi 1 Wa Dalali. ___...
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
-kutoka lami dk 8 kwa mguu -service charge elfu 10 -kwa maelezo zaid tupigie 0697077600
Mbezi Malamba Mawili, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
Chumba kimoja kikubwa sana na Choo na bafu nje chako mwenyew e Kodi miezi 6 maji dawsa yanaflow chooni pia Kuna reserve Tank juu safi juu feni safi Umbali KM 1.5 Usafiri bodaboda 1000 bajaji 500 Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam









