Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
1 - 12 ya 45 matangazo
Lower price first
Panga
Picnic Villa
-Vyumba vina A/C. -Kuna huduma ya kufua (laundry). -Parking ipo. -Kuna restaurant yenye bar. -Vyunba vina TV.
Simu 2000/ Sinza Mugabe, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
-Kodi miezi 6 (haipungui) -Chumba 13 kwa 13 -Umbali kutoka stendi 2.5km -UMEME SUBMETER -MAJI KUSHEA BILI BAJAJ 1000 SERVICE CHARGE 15000
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
Umbali kutoka lami ni 1.5Km (Pikipiki 1000/=) ✔️Chumba Kikubwa ✔️Tiles ✔️Madirisha ya watu kwa muda ✔️Nyumba nzuri ✔️Choo Cha kwako kwa nje __________ HUDUMA ÷ ✔️Maji (Dawasa)Yapo ✔️Umeme #2 Tu 📌 Mazingira TULIVU sana ➖➖➖➖➖➖➖➖➖ KODI, 60,000/= X 3/4/5/6 Malipo ni Ya miezi 5/6 + Mwezi 1 Wa Dalali. ___...
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
-kutoka lami dk 8 kwa mguu -service charge elfu 10 -kwa maelezo zaid tupigie 0697077600
Mbezi Malamba Mawili, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
Chumba kimoja kikubwa sana na Choo na bafu nje chako mwenyew e Kodi miezi 6 maji dawsa yanaflow chooni pia Kuna reserve Tank juu safi juu feni safi Umbali KM 1.5 Usafiri bodaboda 1000 bajaji 500 Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Master ya kisasa inapangishwa
Umbali:1.3 Km Pikipiki Elf 1 BAJAJI 700/= ___________________ ✔️Chumba Kikubwa Master ✔️Tiles& Gypsum ✔️Nyumba ya kisasa ✔️Mazingira Mazuri . ✔️Feni Ya Juu ✔️Maji (yapo Dawasa) ✔️LUKU Yako 📌 MAZINGIRA TULIVU SSNA Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
City Style Hotel
-Tupo 15km tu kutoka mjini. -Vyumba vyetu ni selft contained. -Vyumba vina Tv na A/C. -Kuna heater za maji ya moto. -WiFi ya bure. -Huduma masaa 24
Shekilango - Sinza, Ubungo, Dar es Salaam
Nafaulisha master
TILES GYPSAM SLIDE WINDOW MAJI YANAFLOW NDANI KODI MIEZI 4 OR 3
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment inapangishwa
-KODI Miezi Minne -UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 3 HADI KWENYE NYUMBA _______ USAFIRI BAJAJI 1000 BODA BODA 1500 _______ SIFA YA NYUMBA CHUMBA MASTA JIKO _______ WAPANGAJI WAWILI TU KIMOJA KIPO WAZI _______ KUPELEKWA KUONA 15000 UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
Mbezi Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba na sebule inapangishwa
CHOO CHAKO UMEME WAKO Umbali: 1km kutoka barabara kuu 💰 Kodi: TZS 100,000 kwa mwezi 🛏 Chumba seble (choo) 🛋 Sebule kubwa yenye nafasi ya kutosha ⚡ Umeme wa luku yako 💧 Maji yapo Yana floo 🚪 Mlango binafsi 🧱 Ipo ndani ya fensi salama 🧼 Full tiles – nyumba safi na nadhifu 👁️ Kuona nyumba: TZS 10,000
Kimara Suka, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba master kinapangishwa
-Kina jiko kubwa -Kodi miezi 6 -1.2km kutoka lami -Ipo ndani ya fensi na parking ipo -UMEME UNAJITEGEMEA MAJI PIA YANA FLOW NDANI KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES 15.000 BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
Kimara Stop Over, Ubungo, Dar es Salaam









