Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
37 - 42 ya 42 matangazo
Higher price first
Panga
Master ya kisasa inapangishwa
Umbali:1.3 Km Pikipiki Elf 1 BAJAJI 700/= ___________________ ✔️Chumba Kikubwa Master ✔️Tiles& Gypsum ✔️Nyumba ya kisasa ✔️Mazingira Mazuri . ✔️Feni Ya Juu ✔️Maji (yapo Dawasa) ✔️LUKU Yako 📌 MAZINGIRA TULIVU SSNA Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
Umbali kutoka lami ni 1.5Km (Pikipiki 1000/=) ✔️Chumba Kikubwa ✔️Tiles ✔️Madirisha ya watu kwa muda ✔️Nyumba nzuri ✔️Choo Cha kwako kwa nje __________ HUDUMA ÷ ✔️Maji (Dawasa)Yapo ✔️Umeme #2 Tu 📌 Mazingira TULIVU sana ➖➖➖➖➖➖➖➖➖ KODI, 60,000/= X 3/4/5/6 Malipo ni Ya miezi 5/6 + Mwezi 1 Wa Dalali. ___...
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
-kutoka lami dk 8 kwa mguu -service charge elfu 10 -kwa maelezo zaid tupigie 0697077600
Mbezi Malamba Mawili, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
Chumba kimoja kikubwa sana na Choo na bafu nje chako mwenyew e Kodi miezi 6 maji dawsa yanaflow chooni pia Kuna reserve Tank juu safi juu feni safi Umbali KM 1.5 Usafiri bodaboda 1000 bajaji 500 Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
-Kodi miezi 6 (haipungui) -Chumba 13 kwa 13 -Umbali kutoka stendi 2.5km -UMEME SUBMETER -MAJI KUSHEA BILI BAJAJ 1000 SERVICE CHARGE 15000
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam









