Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
1 - 12 ya 17 matangazo
Lower price first
Panga
Chumba single kikubwa kinaoangishwa
-Kodi miezi 3 -Ndani ya fensi -Dilisha alluminium -Mazingira mazuri, location jirani na kota za jeshi
Gongo La Mboto, Temeke, Dar es Salaam
Chumba kimoja kinapangishwa
-Kodi miezi minne -Dirisha la aluminium -Ndani ya geti -Choo cha kujitegemea SERVICE CHAGER 15K
Mbagala Kwa Mnyani, Temeke, Dar es Salaam
Chumba na sebule
SIO MASTA NI CHUMBA NA SEBULE TU KODI X5 WAPANGAJI WANNE UMEME MNASHARE TILES GYPSUM DIRISHA ZA KAWAIDA
Sabasaba Magengeni, Temeke, Dar es Salaam
Chumba master kinapangishwa
-Kina jiko -Luku na maji unajitegemea -Dakika 3 kwa miguu hadi stendi Service charge elf 10
Mbagala Mzambarauni, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba vyumba vitatu inapangishwa
-Ina vyumba vitatu, kimoja ni master. -Ina sebule, jiko, public toilet, dining, stoo. -Vyumba vina makabati ya nguo. -Umeme unajitegemea. -Kodi ni miezi 6 -Service charge 20k
Majohe - Gongo La Mboto, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba kubwa inapangishwa
-Ina vyumba 4, sebule na choo -Maji na umeme vipo -Ipo ndani ya fensi Kodi miezi 4
Chamazi Mfenesini, Temeke, Dar es Salaam
Frem kubwa inapangishwa
Zote mbili kwenye picha hapo zinapangishwa. Hio ndogo ni 150,000
Gongo La Mboto, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
INAUZWA KWA NIABA YA BANK -Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master -Sitting, Kitchen & Public Toilet -Ukubwa Wa Eneo: SQM 300 -Umbali: Meter 100 Tu Kutoka Barabara Ya Lami Gharama Za kwenda site Ni Tshs 30,000/=
Mbagala Kwa Mkwama, Temeke, Dar es Salaam
Njoo uchukue hii
-Anza na milioni 5 tu tajiri. -Haina fensi. -Gari halifiki.
Mbagala Kongowe, Temeke, Dar es Salaam









