Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
1 - 12 ya 18 matangazo
Lower price first
Panga
premium
Florida Executive Inn
-Mita 650 tu kutoka soko la Kariakoo. -Vyumba vina choo na bafu ndani. -Kuna WiFi ya bure. -Parking ipo. -Kuna mgahawa. -Vyumba vina Tv na baadhi vina sehemu ya kukaa. -Huduma masaa 24.
Kariakoo - Congo/Omari, Ilala, Dar es Salaam
IMPERIAL HOTEL & APARTMENTS
-Vyumba vina A/C -WiFi ya bure. -Parking ipo. -Kuna restaurant na bar -Vyunba vina TV -Kuna sehemu ya mazoezi
Bungoni, Ilala, Dar es Salaam
Chumba master kinapangishwa
-Kodi miezi 3 -Chumba kikubwa ndani ya fensi -umeme na maji unajitegemea
Gongo La Mboto Kwa Kaisi, Ilala, Dar es Salaam
Jakicha Motel
-Vyumba vina A/C -WiFi ya bure. -Parking ipo. -Kuna restaurant yenye bar -Vyunba vina TV na Fridge -Baadhi ya vyumba vina kibaraza
Kitunda Relini, Ilala, Dar es Salaam
Chumba master na sebule inapangishwa
-Kodi miezi mitatu -Maji na umeme unajitegemea -Ndani ya fance -Karibu na barabarani -Unaruhusiwa kutuma pesa ya udalali popote ulipo ili kuzuia chumba ila uwe na uhakika wakulipia chumba mapema isizidi siku 7 karibuni sana
Majohe Viwege Kwa Mpemba, Ilala, Dar es Salaam
Kigala Hotel
-Vyumba vina A/C -Kuna restaurant na bar -Vyunba vina TV -Baadhi ya vyumba vina kibaraza
Buguruni Malapa, Ilala, Dar es Salaam
premium
Florida Executive Inn
-Mita 650 tu kutoka soko la Kariakoo. -Vyumba vina choo na bafu ndani. -Kuna WiFi ya bure. -Parking ipo. -Kuna mgahawa. -Vyumba vina Tv na baadhi vina sehemu ya kukaa. -Huduma masaa 24.
Kariakoo - Congo/Omari, Ilala, Dar es Salaam
Chumba Master na sebule kinapangishwa
-Ina jiko -Inajitegemea maji na umeme -Ipo ndani ya fensi
Pugu Kinyamwezi, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba inapangishwa
-Ina vyumba viwili kimoja master -Kodi inalipwa kwa miezi mitatu mitatu
Ukonga Mombasa, Ilala, Dar es Salaam
Chumba na sebule inapangishwa
TABATA MAWENZI KUNA CHUMBA SEBULE JIKO CHOO......NIPIGIE
Tabata Mawenzi, Ilala, Dar es Salaam
Master na sebule kali
Chumba master, sebule, public toilet ya nje kushea watu 2 tu na bafu, reserve water tank, parking, fence. Service charge tsh 20000 Malipo ya dalali mwezi 1
Kinyerezi, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba kitonga inapangishwa
-Ina vyumba vitatu -Kodi miezi mitatu -Ina sebule na jiko
Kwa Kaisi - G/Mboto, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba inapangishwa
-Kodi kuanzia miezi 6 -Ina vyumba 3 vya kulala chumba kimojawapo master -Sebule, jiko, public toilet -umeme na maji anajitegemea hapa kuna apartments 3 tu ndani ya fence, distance dakika 4 kutoka barabarani, parking, fence, peving block, reserve water tank, Service survey charge tsh 20000 Malipo ya ...
Tabata Kinyerezi, Ilala, Dar es Salaam









