Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
1 - 5 ya 5 matangazo
Higher price first
Panga
Master na sebule kali
Chumba master, sebule, public toilet ya nje kushea watu 2 tu na bafu, reserve water tank, parking, fence. Service charge tsh 20000 Malipo ya dalali mwezi 1
Kinyerezi, Ilala, Dar es Salaam
Chumba na sebule inapangishwa
TABATA MAWENZI KUNA CHUMBA SEBULE JIKO CHOO......NIPIGIE
Tabata Mawenzi, Ilala, Dar es Salaam
Chumba Master na sebule kinapangishwa
-Ina jiko -Inajitegemea maji na umeme -Ipo ndani ya fensi
Pugu Kinyamwezi, Ilala, Dar es Salaam
Chumba master na sebule inapangishwa
-Kodi miezi mitatu -Maji na umeme unajitegemea -Ndani ya fance -Karibu na barabarani -Unaruhusiwa kutuma pesa ya udalali popote ulipo ili kuzuia chumba ila uwe na uhakika wakulipia chumba mapema isizidi siku 7 karibuni sana
Majohe Viwege Kwa Mpemba, Ilala, Dar es Salaam
Chumba master kinapangishwa
-Kodi miezi 3 -Chumba kikubwa ndani ya fensi -umeme na maji unajitegemea
Gongo La Mboto Kwa Kaisi, Ilala, Dar es Salaam
- 1









