Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
61 - 70 ya 70 matangazo
Newly listed
Panga
Chumba na sebule inapangishwa
TABATA MAWENZI KUNA CHUMBA SEBULE JIKO CHOO......NIPIGIE
Tabata Mawenzi, Ilala, Dar es Salaam
Apartment nzuri inapangishwa
-Ina mast3r bedroom moja kubwa tu. -HAKUNA SEBULE -LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA -PARKING KUBWA -IPO NDANI YA FENSI YENYE USALAMA WA KUTOSHA ❌ANATAKIWA MPANGAJI MSELA TUU WA KIKE AU WA KIUME Kodi inalipwa kwa miezi 6 Umbali kutoka lami ni 1km KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI E...
Mbezi Kibanda Cha Mkaa, Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
MAONGEZI YAPO! -INA VYUMBA 4 VYA KULALA -SEBULE KUBWA SANA -KIMOJA MASTER -PUBLIC TOILET -JIKO KUBWA -PIA INA MABANDA YA KUFUGIA -UKUBWA WA ENEO NI SQMT 500 -MAUZIANO SERIKALI YA MTAA -MAJI YAPO UMEME UPO -WATU WANAISHI NDANI -UMBALI TOKA GOBA ROAD NI KM 1.5 -BODA 1000 TU -KWENDA SAITY SERVICE CHARG...
Goba Mageti, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba single kikubwa kinaoangishwa
-Kodi miezi 3 -Ndani ya fensi -Dilisha alluminium -Mazingira mazuri, location jirani na kota za jeshi
Gongo La Mboto, Temeke, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
Umbali kutoka lami ni 1.5Km (Pikipiki 1000/=) ✔️Chumba Kikubwa ✔️Tiles ✔️Madirisha ya watu kwa muda ✔️Nyumba nzuri ✔️Choo Cha kwako kwa nje __________ HUDUMA ÷ ✔️Maji (Dawasa)Yapo ✔️Umeme #2 Tu 📌 Mazingira TULIVU sana ➖➖➖➖➖➖➖➖➖ KODI, 60,000/= X 3/4/5/6 Malipo ni Ya miezi 5/6 + Mwezi 1 Wa Dalali. ___...
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment inapangishwa
-Ina vyumba vitatu. Kimoja ni master. -Ina sebule, jiko, choo cha ndani. -Inajitegemea umeme na maji SERVICE CHARGE 15K MALIPO YA DALALI 350K UKILIPIA NYUMBA
Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba master na sebule inapangishwa
-UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2 -SEBULE KUBWA -CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA -SEHEMU YAKUPIKIA -UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA -MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI -KODI MIEZI 3 -KUONA ELFU 15 -MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba vyumba vitatu inapangishwa
-Ina vyumba vitatu, kimoja ni master. -Ina sebule, jiko, public toilet, dining, stoo. -Vyumba vina makabati ya nguo. -Umeme unajitegemea. -Kodi ni miezi 6 -Service charge 20k
Majohe - Gongo La Mboto, Temeke, Dar es Salaam
Chumba Master na sebule kinapangishwa
Ni chumba master, sebule na jiko. -UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2 -UMEME UNAJITEGEMEA -MAJI YAPO DAWASA PIA KUNA RESERVE TANK NJE -VYUMBA VINA MAFENI -KODI Miezi 3
Mbezi Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam









