Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
25 - 28 ya 28 matangazo
Newly listed
Panga
Apartment nzuri inapangishwa
-Ina mast3r bedroom moja kubwa tu. -HAKUNA SEBULE -LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA -PARKING KUBWA -IPO NDANI YA FENSI YENYE USALAMA WA KUTOSHA ❌ANATAKIWA MPANGAJI MSELA TUU WA KIKE AU WA KIUME Kodi inalipwa kwa miezi 6 Umbali kutoka lami ni 1km KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI E...
Mbezi Kibanda Cha Mkaa, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
Umbali kutoka lami ni 1.5Km (Pikipiki 1000/=) ✔️Chumba Kikubwa ✔️Tiles ✔️Madirisha ya watu kwa muda ✔️Nyumba nzuri ✔️Choo Cha kwako kwa nje __________ HUDUMA ÷ ✔️Maji (Dawasa)Yapo ✔️Umeme #2 Tu 📌 Mazingira TULIVU sana ➖➖➖➖➖➖➖➖➖ KODI, 60,000/= X 3/4/5/6 Malipo ni Ya miezi 5/6 + Mwezi 1 Wa Dalali. ___...
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba master na sebule inapangishwa
-UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2 -SEBULE KUBWA -CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA -SEHEMU YAKUPIKIA -UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA -MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI -KODI MIEZI 3 -KUONA ELFU 15 -MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba Master na sebule kinapangishwa
Ni chumba master, sebule na jiko. -UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2 -UMEME UNAJITEGEMEA -MAJI YAPO DAWASA PIA KUNA RESERVE TANK NJE -VYUMBA VINA MAFENI -KODI Miezi 3
Mbezi Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam









