Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
1 - 12 ya 14 matangazo
Newly listed
Panga
Chumba kimoja kinapangishwa
-Kodi miezi minne -Dirisha la aluminium -Ndani ya geti -Choo cha kujitegemea SERVICE CHAGER 15K
Mbagala Kwa Mnyani, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Ina vyumba vinne kimoja ni master. -Ina sebule, jiko, dinning na choo cha public. -Pia ina frem 1
Mbagala Chamanzi, Temeke, Dar es Salaam
Chumba master kinapangishwa
-Kina jiko -Luku na maji unajitegemea -Dakika 3 kwa miguu hadi stendi Service charge elf 10
Mbagala Mzambarauni, Temeke, Dar es Salaam
Njoo uchukue hii
-Anza na milioni 5 tu tajiri. -Haina fensi. -Gari halifiki.
Mbagala Kongowe, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
Ina vyumba vitatu, master bedroom, daining room, Jiko, public toilet Eneo SQM 500 Iko ndani ya fensi Mmiliki ni mmoja Gar inafika 0782944673
Mbagala Kingungi, Temeke, Dar es Salaam
Chumba na sebule
SIO MASTA NI CHUMBA NA SEBULE TU KODI X5 WAPANGAJI WANNE UMEME MNASHARE TILES GYPSUM DIRISHA ZA KAWAIDA
Sabasaba Magengeni, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba ya kisasa inauzwa
-Ipo 1km kutoka Main Road (CHAMAZ Road). -Nyumba ina vyumba 3, 1 Master -Sebule, Dinning, Public Toilet, store, jiko. nyumba Ina maji na umeme Mazungumzo yapo kidogo
Chamazi, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
Ina vyumba 4 chumba kimoja master Sebule danng jiko choo umeme kisima Kiwanja kina ukubwa wa ft 60×60 karibu
Chamazi Mfenesini, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba kubwa inauzwa
-Ina vyumba 2 chumba kimoja master. -Sebule jiko choo umeme maji
Chamazi Mfenesini, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
INAUZWA KWA NIABA YA BANK -Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master -Sitting, Kitchen & Public Toilet -Ukubwa Wa Eneo: SQM 300 -Umbali: Meter 100 Tu Kutoka Barabara Ya Lami Gharama Za kwenda site Ni Tshs 30,000/=
Mbagala Kwa Mkwama, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba kubwa inapangishwa
-Ina vyumba 4, sebule na choo -Maji na umeme vipo -Ipo ndani ya fensi Kodi miezi 4
Chamazi Mfenesini, Temeke, Dar es Salaam









