INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI
Kodi X 6
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 1 UPO KWENYE NYUMBA
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Nyumba kubwa inapangishwa
Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Kimara Temboni
Limechapishwa mwezi 1 uliyopita
ID #120
TSh 400,000
Nyumba kubwa inapangishwa
Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Kimara Temboni,
Limechapishwa mwezi 1 uliyopita
Maoni