HIZI APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO NDIO INAPANGISHWA
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
DK 4 TU KUTOKA MWENDOAKSI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
MALIPO MIEZI SITA
Apartment inapangishwa
Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Kimara Korogwe
Limechapishwa miezi 3 iliyopita
ID #95
TSh 350,000
Apartment inapangishwa
Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Kimara Korogwe,
Limechapishwa miezi 3 iliyopita










Maoni