CHUMBA MASTER KUBWA SAFI
SEBURE KUBWA
JIKO KUBWA
NYUMBA KALI SANA NA IPO SEHEMU TULIVU
====
Kodi kwa miezi mitatu mitatu
====
Umeme Luku yako UNAJITEGEMEAMETER YAKO ,MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI PIA KUNA RESERVE TANK JUU
====
Umbali KUTOKA KITUONI NI DKK 5 KUTEMBEA KWAMIGUUU
NYUMBA IPO NDANI YA FESNI ULINZI WAKUTOSHA
====
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
Malipo ya dalali ni kodi ya mwezi mmoja
Apartment inapangishwa
Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Mbezi Mwisho
Limechapishwa miezi 3 iliyopita
ID #88
TSh 150,000
Apartment inapangishwa
Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo, Mbezi Mwisho,
Limechapishwa miezi 3 iliyopita










Maoni