Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
25 - 36 ya 84 matangazo
Newly listed
Panga
premium
Palm Rose Hotel
-Vyumba vina A/C -WiFi ya bure. -Parking ipo. -Kuna restaurant na bar -Vyunba vina TV na Fridge -Baadhi ya vyumba vina kibaraza
Mbezi Beach - Goig, Kinondoni, Dar es Salaam
premium
Florida Executive Inn
-Mita 650 tu kutoka soko la Kariakoo. -Vyumba vina choo na bafu ndani. -Kuna WiFi ya bure. -Parking ipo. -Kuna mgahawa. -Vyumba vina Tv na baadhi vina sehemu ya kukaa. -Huduma masaa 24.
Kariakoo - Congo/Omari, Ilala, Dar es Salaam
Apartment inapangishwa
CHUMBA MASTER KUBWA SAFI SEBURE KUBWA JIKO KUBWA NYUMBA KALI SANA NA IPO SEHEMU TULIVU ==== Kodi kwa miezi mitatu mitatu ==== Umeme Luku yako UNAJITEGEMEAMETER YAKO ,MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI PIA KUNA RESERVE TANK JUU ==== Umbali KUTOKA KITUONI NI DKK 5 KUTEMBEA KWAMIGUUU NYUMBA IPO NDANI YA FESNI ...
Mbezi Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Ina vyumba viwili, sebule kubwa, jiko, public toilet na master bedroom. -Uwanja mkubwa mbele MAONGEZI YAPO
Tabata Segerea, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Ina vyumba 4 -chumba kimoja masta -sebule, jiko, sehem ya kulia chakula, choo public -Ina frem 1
Kivule, Ilala, Dar es Salaam
Master na sebule kali
Chumba master, sebule, public toilet ya nje kushea watu 2 tu na bafu, reserve water tank, parking, fence. Service charge tsh 20000 Malipo ya dalali mwezi 1
Kinyerezi, Ilala, Dar es Salaam
Chumba master kinapangishwa
-CHUMBA MASTER NA JIKO MPYAAAA MPYAAA -INAPANGISHWA ZIPO 5 KWENYE COMPAUND MOJA -NDANI YA FENSI -USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ 500/= -INA TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW -UMEME UNAJITEGEMEA -MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000 BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DAL...
Mbezi Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment inapangishwa
KILOMETA 1 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA BODA BODA BUKU TUU. CHUMBA MASTER SEBLE KUBWA SANA UMEME SUBMETER YAKE MAJI YANA FLOW CHOONI PUBLIC TOILET IPO NJEE FULL SECURITY 24HRS MAZINGILA MANZURI SANA SERVICE CHARGE 15,000/= Kodi miezi 6
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment nzuri inapangishwa
-UKISHUKA DK 7 MGUU -SEBULE KUBWA -UMEME NA MAJI YAKO -NDANI YA FENSI -GARDEN -PARKING KUBWA SANA -SECURITY Kodi miezi 6 KUONA ELF 15 UKILIPIA MWZ 1 DALALI
Mbezi Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
-Kodi miezi 6 (haipungui) -Chumba 13 kwa 13 -Umbali kutoka stendi 2.5km -UMEME SUBMETER -MAJI KUSHEA BILI BAJAJ 1000 SERVICE CHARGE 15000
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba master kinapangishwa
-Kina jiko -Luku na maji unajitegemea -Dakika 3 kwa miguu hadi stendi Service charge elf 10
Mbagala Mzambarauni, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Ina vyumba viwili -Chumba kimoja master -Ina sebule na jiko -Choo cha public kipo
Chanika Mwisho, Ilala, Dar es Salaam
Njoo uchukue hii
-Anza na milioni 5 tu tajiri. -Haina fensi. -Gari halifiki.
Mbagala Kongowe, Temeke, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
Ina vyumba vitatu, master bedroom, daining room, Jiko, public toilet Eneo SQM 500 Iko ndani ya fensi Mmiliki ni mmoja Gar inafika 0782944673
Mbagala Kingungi, Temeke, Dar es Salaam