Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
37 - 39 ya 39 matangazo
Newly listed
Panga
Apartment inapangishwa
-Ina vyumba vitatu. Kimoja ni master. -Ina sebule, jiko, choo cha ndani. -Inajitegemea umeme na maji SERVICE CHARGE 15K MALIPO YA DALALI 350K UKILIPIA NYUMBA
Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba master na sebule inapangishwa
-UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2 -SEBULE KUBWA -CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA -SEHEMU YAKUPIKIA -UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA -MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI -KODI MIEZI 3 -KUONA ELFU 15 -MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba Master na sebule kinapangishwa
Ni chumba master, sebule na jiko. -UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2 -UMEME UNAJITEGEMEA -MAJI YAPO DAWASA PIA KUNA RESERVE TANK NJE -VYUMBA VINA MAFENI -KODI Miezi 3
Mbezi Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam









