Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
25 - 36 ya 104 matangazo
Higher price first
Panga
premium
Palm Rose Hotel
-Vyumba vina A/C -WiFi ya bure. -Parking ipo. -Kuna restaurant na bar -Vyunba vina TV na Fridge -Baadhi ya vyumba vina kibaraza
Mbezi Beach - Goig, Kinondoni, Dar es Salaam
premium
Florida Executive Inn
-Mita 650 tu kutoka soko la Kariakoo. -Vyumba vina choo na bafu ndani. -Kuna WiFi ya bure. -Parking ipo. -Kuna mgahawa. -Vyumba vina Tv na baadhi vina sehemu ya kukaa. -Huduma masaa 24.
Kariakoo - Congo/Omari, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
INAUZWA KWA NIABA YA BANK -Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master -Sitting, Kitchen & Public Toilet -Ukubwa Wa Eneo: SQM 300 -Umbali: Meter 100 Tu Kutoka Barabara Ya Lami Gharama Za kwenda site Ni Tshs 30,000/=
Mbagala Kwa Mkwama, Temeke, Dar es Salaam
Boma linauzwa
-Vyumba ni vitatu, kimoja self -Sebule -Eneo 25 kwa 20 -Shimo la choo tayari -Lipo ndani ya mji, jirani kutoka kisesa senta Njoo na Posho yetu tufanye biashara
Kisesa, Magu, Mwanza
Site inauzwa
-kutoka lami dk 8 kwa mguu -imejengwa chumba master na jiko -Ina ukubwa wa eneo sqm 300 Service charge elfu 10
Malamba Mawili, Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba ya kumalizia tu inauzwa
✍️ INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA ✍️ SEBULE ✍️ JIKO ✍️ CHOO ✍️ TOFALI 100 ========== • IPO KARIBU NA STAND UNATEMBEA DK 5 TU • IPO KWENYE MTAA ULOCHANGAMKA SANA. ❌ ENEO LAKE SIO KUBWA KUBWA SANA.
Kwa Mathias, Kibaha, Pwani
Shamba linauzwa
-LA EKA 10 -SHAMBA HILI LIPO KILOMETA 4 KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI YA MSATA BAGAMOYO
Kiwangwa, Bago, Bagamoyo, Pwani
Nyumba inauzwa
Hii njoo tumalize boss. Ipo jirani na kiwanda cha lakairo mita 600 toka lami kuu Ina vyumba viwilo na seble Eneo 20 kwa 15 Umeme upo, choo kipo.
Kisesa Isangijo, Magu, Mwanza
KIWANJA DODOMA UDOM
Plot no 216 na 217 vinauzwa Mhande Dodoma 👉square mita 600 👉square mita 500 👉document survey form 👉vipo mhande udom ni km 1 kwenda lami a ntyuka
Dodoma, Dodoma, Dodoma
Mradi wa viwanja
MRADI UPO KARIBU NA SHULE YA MSINGI JUHUDI. ✍️ BEI ZA VIWANJA NI KAMA IFUATAVYO: • 20*20 NI TSH 2.5M • 17*17 NI TSH 2M • 14*20 TSH 1.5M • 10*20 TSH 1M ========== ✅ UNAWEZA KULIPA CASH AU KWA AWAMU. ✅ PIKIPIKI BUKU TU HADI SITE ========== HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA.
Visiga Madafu, Kibaha, Pwani
Nyumba inapangishwa
-Kodi kuanzia miezi 6 -Ina vyumba 3 vya kulala chumba kimojawapo master -Sebule, jiko, public toilet -umeme na maji anajitegemea hapa kuna apartments 3 tu ndani ya fence, distance dakika 4 kutoka barabarani, parking, fence, peving block, reserve water tank, Service survey charge tsh 20000 Malipo ya ...
Tabata Kinyerezi, Ilala, Dar es Salaam
Nyumba kubwa inapangishwa
INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI Kodi X 6 #VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER #SEBULE KUBWA #DINING #JIKO KUBWA LA KISASA #STORE #PUBLIC TOILET #PARKING KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 1 UPO KWENYE NYUM...
Kimara Temboni, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment inapangishwa
-Ina vyumba vitatu. Kimoja ni master. -Ina sebule, jiko, choo cha ndani. -Inajitegemea umeme na maji SERVICE CHARGE 15K MALIPO YA DALALI 350K UKILIPIA NYUMBA
Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam









