Matokeo yote
Mtu binafsi
Kampuni
25 - 36 ya 45 matangazo
Newly listed
Panga
Master ya kisasa inapangishwa
Umbali:1.3 Km Pikipiki Elf 1 BAJAJI 700/= ___________________ ✔️Chumba Kikubwa Master ✔️Tiles& Gypsum ✔️Nyumba ya kisasa ✔️Mazingira Mazuri . ✔️Feni Ya Juu ✔️Maji (yapo Dawasa) ✔️LUKU Yako 📌 MAZINGIRA TULIVU SSNA Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba master kinapangishwa
-Kina jiko kubwa -Kodi miezi 6 -1.2km kutoka lami -Ipo ndani ya fensi na parking ipo -UMEME UNAJITEGEMEA MAJI PIA YANA FLOW NDANI KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES 15.000 BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
Kimara Stop Over, Ubungo, Dar es Salaam
Nafaulisha master
TILES GYPSAM SLIDE WINDOW MAJI YANAFLOW NDANI KODI MIEZI 4 OR 3
Kimara Mwisho, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment inapangishwa
#DISTANCE DAKIKA 7 KWA MIGUU VYUMBA VITATU..kimoja ni master SEBULE JIKO PUBLIC TOILET YA NDANI INAJITEGEMEA UMEME,MAJI SERVICE CHARGE 15K MALIPO YA DALALI 350K UKILIPIA NYUMBA
Mbezi Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Site inauzwa
-kutoka lami dk 8 kwa mguu -imejengwa chumba master na jiko -Ina ukubwa wa eneo sqm 300 Service charge elfu 10
Malamba Mawili, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba master na sebule
-Km1.5 tu kutoka barabara kuu ⚡ Umeme wawili | 💧 Maji Yana floor 📶 Hapo kwenye fence
Kimara Suka, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment nzuri inapangishwa
# CHUMBA MASTER # SEBULE KUBWA # UMEME UNAJITEGEMEA # MAJI NI YA KUSHEA BILI NA YANATOKA NDANI BEI NI 160X3 ILIPWE LAKI MMOJA NA SITINI KODI YA MIEZI MITATU KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15 UKIIPENDA NYUMBA UTAMRIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA KUTOKA MOROGORO ROOD KM 1 UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNAPINGA TEKE...
Mbezi Kwa Msuguri, Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba stand alone inapangishwa
Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko sebule dining Public toilet stoo Pia nje ina mabanda takufugia chochote upendacho Full parking Full electronics fence Service churge 20k Kimbia na pesa mkononi usilete kwaya site boss wangu.
Majohe Rada, Ubungo, Dar es Salaam
Chumba single kinapangishwa
-kutoka lami dk 8 kwa mguu -service charge elfu 10 -kwa maelezo zaid tupigie 0697077600
Mbezi Malamba Mawili, Ubungo, Dar es Salaam
Nyumba inauzwa
-Vyumba vitatu, kimoja ni master -Ina sebule, jiko na choo cha public -UMEME MAJI VYOTE ALISHAVUTA -Finishing ya ndani tayari, bado nje UKUBWA WA KIWANJA MITA 15 KWA 13 KUPELEKWA KUONA elfu 30
Mbezi Kifuru, Ubungo, Dar es Salaam
Apartment kali mno
-DK 6 KWA MGUU TOKA LAMI -CHUMBA KIKUBWA -MASTER -SEBULE KUBWA -NA JIKO -NDANI YA FENSI -PARKING KUBWA -Kodi x6 KUONA 15,000
Kimara Temboni, Ubungo, Dar es Salaam









